Tofauti kati ya marekesbisho "Shemasi"

1,906 bytes added ,  miezi 9 iliyopita
no edit summary
[[Image:DeaconsingingExsultet2007.jpg|thumb|right|Shemasi wa Kanisa Katoliki huko [[Polandi]] akiimba [[Mbiu ya Pasaka|mbiu]] ''[[Exsultet]]'' [[usiku wa Pasaka]].]]
[[Image:Orthodox Deacon.jpg|thumb|Shemasi wa [[Kiorthodoksi]] katika [[mavazi]] yake rasmi.]]
'''Shemasi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kigiriki]]: διάκονος, ''diákonos''<ref>{{cite web | title = deacon | publisher = Bartleby | url = http://www.bartleby.com/61/11/D0051100.html | work = The American Heritage Dictionary of the English Language | edition = 4th | year = 2000 | accessdate = 2008-08-17 | url-status = dead | archiveurl = https://web.archive.org/web/20090125205604/http://www.bartleby.com/61/11/D0051100.html | archivedate = 2009-01-25 }}</ref> maana yake "mtumishi", "msaidizi", "mhudumu", au "mjumbe".<ref>{{cite book |url= http://www.perseus.tufts.edu/cgi-bin/ptext?doc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0058%3Aentry%3D%237832 |title=An Intermediate Greek-English Lexicon | last1 =Liddell | first1 = Henry George | last2 =Scott | first2 = Robert | author2-link =Robert Scott (philologist) | author1-link=Henry Liddell |year=1889 | publisher =Clarendon Press |location=Oxford | accessdate=2007-10-18 |isbn = 0-19-910206-6}}</ref>) ni [[kiongozi]] wa [[Kanisa]] anayeunganisha wenye [[Daraja takatifu|daraja]] za juu na [[walei]].
'''Shemasi''' ni [[kiongozi]] wa [[Kanisa]] anayeunganisha wenye [[Daraja takatifu|daraja]] za juu na [[walei]].
 
Hii ni kwa sababu ushemasi ni daraja ya [[tatu]] na ya mwisho katika [[Kanisa Katoliki]] na [[madhehebu]] mengine kadhaa ya [[Ukristo]]. Unatolewa na [[Askofu]] kwa kumwekea muumini [[mikono]] na kumuombea ili atoe vizuri [[huduma]] ya [[Neno la Mungu]], ya [[liturujia]] na ya matendo ya [[upendo]]. Unaweza kutolewa kwa namna ya kudumu au kama hatua ya kuelekea daraja ya [[upadri]].
Katika [[historia ya Kanisa]] mashemasi waliotoa mchango mkubwa, mara nyingi kwa kukamilisha [[ushuhuda]] wao kwa [[kifodini|kumfia]] [[Yesu]].
 
Kati yao maarufu zaidi ni [[Laurenti Mfiadini]], [[Efrem wa Syria]], na [[Fransisko wa Asizi]].
 
==Katika Biblia==
Imezoeleka kusema ushemasi ulianzishwa na [[Mitume wa Yesu|Mitume]] walipoweka viongozi [[Saba (namba)|saba]] wenye kusema Kigiriki kuwasaidia katika kuongoza Kanisa la [[Yerusalemu]]<ref>{{CathEncy |id=04647c | title =Deacons |first= Herbert |last = Thurston | accessdate=2007-10-18}}</ref><ref>{{cite web |last=Hopko |first=Thomas |title=Holy Orders |url=http://www.oca.org/OCchapter.asp?SID=2&ID=57 |accessdate=2007-10-18 |url-status=dead |archiveurl=https://web.archive.org/web/20071021131809/http://oca.org/OCchapter.asp?SID=2&ID=57 |archivedate=2007-10-21 }}</ref>. Wa kwanza wao alikuwa [[Stefano]] <ref>[[Mdo]] 6</ref>. Hata hivyo [[wataalamu]] wengine wanasema hao saba hawakuwa mashemasi tu.
 
Kwa vyovyote [[cheo]] cha ushemasi kinazungumziwa na [[Agano Jipya]], hasa katika [[Nyaraka za Kichungaji]], [[Mtume Paulo]] anapotaja sifa za shemasi ([[1Tim]] 3:1-13).
 
==Viungo vya nje==
{{Commonscat|Deacons}}
{{mbegu-Ukristo}}
[[Jamii:Viongozi wa Kikristo]]