Upadri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:ET Axum asv2018-01 img03 Abba Pentalewon.jpg|thumb|upright=0.8|Padri wa [[Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia]].]]
[[File:Priesterweihe in Schwyz 2.jpg|thumb|Katika [[upadirisho]], baada ya askofu, mapadri wote waliopo wanawawekea mikono [[Mashemasi|mashemasi]]. Hapo tu inafuata sala ya kuwaweka wakfu.]]
'''Upadri''' ni [[daraja takatifu]] ya kati katika [[uongozi]] wa [[Kanisa Katoliki]] na [[madhehebu]] mengine kadhaa ya [[Ukristo]].
 
Line 6 ⟶ 7:
Upadri unatolewa kwa namna ya kudumu, usiweze kurudiwa wala kufutwa.
 
==Katika Agano Jipya==
Shirika la kwanza la [[Kanisa]] la [[Yerusalemu]] lilikuwa na wasomi wengi sawa na lile la [[sinagogi]] la [[Uyahudi]], lakini lilikuwa na Halmashauri ya [[wazee]] waliowekwa (πρεσβύτεροι, ''wazee'')
 
Katika [[Matendo ya Mitume]] 11:30 na 15: 22 tunaona mfumo wa washirika wa uongozi huko Yerusalemu ingawa unaongozwa na [[Yakobo Mdogo]], askofu wa kwanza wa [[mji]] huo. Katika Matendo 14: 23, [[Mtume Paulo]] anaweka wakubwa katika makanisa aliyoanzisha.
 
==Viungo vya nje==
===Kanisa Katoliki===
*[http://www.catholic-hierarchy.org/ The Hierarchy of the Catholic Church Current and historical information about its bishops and dioceses] (includes current and historical demographics for priests)
*[http://vocationguide.org/ VISION Vocation Guide] information about Roman Catholic priesthood and religious life with directory of men's religious communities and diocesan links.
*[http://www.mptv.org/video/watch/?id=1414 Milwaukee Holy Orders: The Making of a Priest] Documentary produced by [[Milwaukee PBS]]
 
===Makanisa ya Kiorthodoksi===
*[http://www.orthodoxwiki.org/Priest orthodoxwiki article on Orthodox Priesthood]
*[http://www.saintelias.com/ca/etiquette/index.php Church etiquette (Ukrainian tradition)] (including how to greet a priest or bishop)
*[http://www.orthodoxinfo.com/praxis/clergy_etiquette.aspx Clergy Etiquette]
*[http://www.antiochian.org/node/21289 A Son's Journey to the Priesthood, Antiochian Archdiocese]
*[http://www.oca.org/QAindex-priesthoodmonasticism.asp?SID=3 Q&A on the Priesthood from the Orthodox Church in America]
{{mbegu-Ukristo}}