Upadirisho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Priesterweihe in Schwyz 2.jpg|thumb|Katika [[upadirisho]], baada ya askofu, mapadri wote waliopo wanawawekea mikono [[Mashemasi|mashemasi]]. Hapo tu inafuata sala ya kuwaweka wakfu.]]
'''Upadirisho''' ni [[sakramenti]] ya kumwekea [[wakfu]] mtu katika [[daraja]] ya [[upadri]].
 
[[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi]] wanauona kuwa wa lazima kabisa ili mtu aweze kutoa [[huduma]] za [[kasisi]].
 
[[Kiini]] cha [[ibada]] hiyo ni [[Askofu]] kumwekea [[mikono]] [[Kichwa|kichwani]] [[shemasi]] na kutoa [[sala]] maalumu ya kumweka wakfu kwa daraja hiyo.