Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Nuremberg chronicles f 109v 1.png|thumb|200px|right|Picha ya [[Timotheo]], mmoja kati ya maaskofu wa kwanza, ilivyochorwa katika ''Nuremberg chronicles'' f 109v(1493).]]
'''Askofu''' ni [[mtu]] mwenye [[cheo]] cha juu katika [[Kanisa]]. Kwa kawaida huliongoza katika eneo la jimbo [[dayosisi]] (jimbo) akisimamia [[usharika|shirika]] au [[parokia]] nyingi.
 
==Historia ya Cheocheo hicho==
 
===Episkopos katika Agano Jipya===
[[Neno]] letula [[Kiswahili]] "askofu" limetokana na [[Kiarabu]] <big> أسقف </big> "uskufu" ambalo ni [[umbo]] la [[Kiarabu]] la neno la [[Kigiriki]] επισκοπος "episkopos". Neno hilo katika [[mazingira]] ya [[Wakristo]] wa kwanza lilitumika kumtajiakumtaja mwangalizi au msimamizi wa shughuli mbalimbali [[serikali]]ni, katika shirika za wananchi au penye [[ujenzi]].
 
[[Maandiko]] ya kwanza ya [[Agano Jipya]] yanayotumia neno hili ni [[nyaraka]] za [[Mtume Paulo]], ambaye anataja [[kazi]] hiihiyo katika [[Fil.]] 1,1. Lakini hakuna "episkopos" katika [[1Kor.]] 12,28 inayoorodhesha vyeo na kazi mbalimbali. Hii imechukuliwa na [[wataalamu]] wengi kama alama[[dalili]] ya kwamba wakati huo kile cha "episkopos" hakikuwa bado cheo cha kawaida katika shirika zote.
 
[[1Tim.]] 3,1-7 na [[Tit.]] 1,7 zinataja "episkopos" lakini wengine hudhani ya kwamba nyaraka hizihizo zimeandikwa baada ya Paulo.
 
Katika [[Mdo.]] 20,28 [[wazee]] au [[viongozi]] wa ushirika wa [[Efeso]] waitwa "episkopoi" kwa jumla.
 
Haya yote yanachukuliwa wa wataalamu wengi ya kuwa wakati wa [[uandishi]] wa Agano Jipya cheo cha "askofu" hakikuwa bado cheo maalumu. Lakini katika shirika kadhaa alipatikana tayari kiongozi aliyekuwa na cheo cha juu kuliko wazee.
 
===Episkopos kama cheo===
Neno episkopos linaonekana kama cheo katika maandishi ya mwisho wa [[karne I]] na mwanzo wa [[karne II]] kama vile [[waraka wa kwanza wa Klementi]] ambapo askofu aonekana kuwa kiongozi mkuu wa kanisa la [[mji]] fulani.
 
Katika upanuziuenezi wa [[Ukristo]] [[madaraka]] ya askofu yalipanuka. Kadiri makanisa yalivyoenea hata nje ya miji nahadi [[shamba|mashambani]] askofu akawa kiongozi wa eneo, si wa mji tu.
 
Wakati ule ngazi za [[Daraja takatifu|daraja]] zilionekana: Kanisa la mji au eneo likiongozwa na episkopos (askofu) anayeshaurianaakishauriana na "presbiteri" (kiasili: wazee; baadaye: ma[[upadri|kasisi]]) na kusaidiwa na ma[[shemasi]] au madikoni.
 
==Kanisa Katoliki na Waorthodoksi==
[[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] wana [[daraja takatifu]] ya Askofu, ambaye kwa kawaida ni mkuu wa kanisa katika ngazi ya [[dayosisi]]. Askofu ni kama baba wa makasisi (mapadri) na waumini wengine katika eneo lake.
 
Maaskofu hukutana kwenye [[sinodi]] na kufanya maazimio kuhusu mambo ya kanisaKanisa lote.
 
Maaskofu wa nchi au eneo kubwa wako pamoja chini ya usimamizi wa [[Patriarki]] au wa [[Askofu mkuu]].
 
Katika [[Kanisa Katoliki]] [[askofu wa Roma]] ni mkuu wa Maaskofu wote na wa Kanisa lote [[duniani]] akitajwa kwa jina la [[Papa]].
 
===Mafundisho ya mlolongo wa mitume===
Katika [[mapokeo]] hayo askofu hutazamwa kama [[mwandamizi]] wa [[Mitume wa Yesu]]. Katika mafundisho hayo [[Yesu Kristo]] mwenyewe aliwaweka [[mitume]] wake 12 kuwa viongozi wa kanisaKanisa lote na kuwapa madaraka. Madaraka hayo yalitolewa na mitume kwa kuwawekea [[mikono]] [[Kichwa|kichwani]] [[mwandamizi|waandamizi]] wao waliopata hivyo kuwa maaskofu wa kwanza baada yao, nao wakafanya hivyo kwa waandamizi wao.
 
Kwa namna hiyo kuna mlolongo wa kuwekeana mikono kati ya wanaopokea nafasi ya uaskofu kuanzia mitume na kila [[kizazi]] cha maaskofu hadi leo. Hivyo maaskofu ni kiungo kati ya [[Yesu]] na waumini wa leo.
Katika [[mapokeo]] hayo askofu hutazamwa kama [[mwandamizi]] wa [[Mitume wa Yesu]]. Katika mafundisho hayo [[Yesu Kristo]] mwenyewe aliwaweka [[mitume]] wake 12 kuwa viongozi wa kanisa lote na kuwapa madaraka. Madaraka hayo yalitolewa na mitume kwa kuwawekea mikono kichwani waandamizi wao waliopata hivyo kuwa maaskofu wa kwanza baada yao, nao wakafanya hivyo kwa waandamizi wao.
 
Kwa namna hiyo kuna mlolongo wa kuwekeana mikono kati ya wanaopokea nafasi ya uaskofu kuanzia mitume na kila kizazi cha maaskofu hadi leo. Hivyo maaskofu ni kiungo kati ya [[Yesu]] na waumini wa leo.
 
==Askofu kati ya Waprotestanti==
[[Picha:Akofu Luwum.jpg|thumb|150px|right|Askofu [[Janani Luwum]] wa Kanisa la Anglikana la [[Uganda]] aliyeuawa na [[Idi Amin]].]]
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]], hasa ya [[Anglikana]], [[Wamoravian]] na sehemu za [[Walutheri]] yanadai kuwa yameendelea nayameendeleza [[mlolongo wa mitume]]. HiiHiyo iliweza kutokea hasa katika nchi kama [[Uingereza]] na [[Uswidi]] ambako wakati wa [[matengenezo ya Kiprotestanti]] maaskofu katolikiWakatoliki wa awali walihamia upande wa matengenezo na utaratibu wa kiaskofu uliweza kuendelea.
 
Pamoja na hayo, Kanisa Katoliki halikubali kwamba ilitokea hivyo [[historia|kihistoria]], au kwamba mtazamo wa Waprotestanti wa wakati huo kuhusu [[daraja takatifu]] na [[ekaristi]] ulitosha kushirikisha kweli [[mamlaka]] ya [[Mitume wa Yesu]]. Hivyo Kanisa hilo kwa jumla halitambui maaskofu wa Kiprotestanti kuwa na [[sakramenti]] ya daraja.
 
Upande wao, Waprotestanti wengi hawaoni umuhimu wa mlolongo wa kuwekewa mikono tangu wakati wa Mitume hadi leo: kwao muhimu zaidi ni uaminifu kwa [[imani]] ya Mitume.
Line 47 ⟶ 46:
Madhehebu mengine kadhaa ya Kiprotestanti yanatumika cheo cha askofu kuwa kiongozi katika Kanisa.
 
Kwa kawaida mamlaka yake ni ndogo kuliko na ile ya maaskofu wa Kikatoliki na wa Kiorthodoksi, kutokana na mtazamo tofauti kuhusu Kanisa na [[sakramenti]], ambao katika miaka ya mwisho imezidi kuwa tofauti kutokana na Waprotestanti wengi kukubali [[wanawake]] wapewe uaskofu na ukasisi, kinyume cha mapokeo na [[imani]] ya Wakatoliki na Waorthodoksi.
[[Jamii:{{mbegu-Ukristo]]}}
 
[[Jamii:Viongozi wa Kikristo]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Kanisa]]
[[Jamii:Sakramenti]]