Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 20:
# [[Tamthiliya tatizo]] - zinaangazia tatizo linalowakumba wanajamii wakati fulani, kwa mfano, ufisadi. Mifano ya tamthiliya hizi ni k.v. Kigogo (Pauline Kea) na Mstahiki Meya (Timothy Arege).
 
==Sifa bainifu ya tamthilia==
==Mabadiliko na maendeleo ya tamthiliya za Kiswahili==
Tamthilia ya leo hugawanyika katika sehemu/matendo ambayo yana vijisehemu (maonyesho).kila uonyeshoKila onyesho huendeleza hoja kuu za tendo.muungano Muungano wa matendo hujenga mtiririko wa maudhui na fani kwa kubainisha wahusika, mtindo na dhamira.
Kwa kutumia muundo wa [[Shakespeare]], waandishi waliandika tamthiliya kwa lugha ya [[Kiswahili]] na zilihusisha masuala ya Kiafrika. Wakati wa [[ukoloni]], [[drama]] ilikuwa kwa ajili ya [[Wazungu]] na [[Waafrika]] wachache waliojua Kizungu. Baadaye, waandishi wazalendo waliotaka kuwasiliana na umma, iliwabidi watunge tamthiliya yao kwa lugha ya Kiswahili. Baadaye, licha ya tamthiliya kuzingatia matumizi ya lugha ya Kiswahili, walianza kuzitazama, kuchunguza na kuzifanyia majaribio.
 
Tamthilia huhusisha mijadala na mazungumzo kati ya wahusika wawili na zaidi.mazungumzo Mazungumzo katika tamthilia huwa mafupi mana yanajenga dhamira ya msanii mtunzi.tofauti Tofauti na mazungumzo ya kawaida, katika tamthilia huwa ya kasi na hufuata mkondo maalummaalumU wa mawazo tofauti nayna ayale ya kawaida ambayo hubadili mikondo.
Tamthiliya za awali, k.v. Wakati Ukuta na Heshima Yangu, hazikuwa na utohozi wa matumizi ya fani za sanaa za maonyesho ya jadi. Kuanzia mwishoni mwa [[miaka ya 1960]], na mwanzoni mwa [[miaka ya 1970]], tamthiliya zilianza kuonyesha mwelekeo mpya. Pia, [[falsafa]] na [[imani]] za Kiafrika kabla ya [[ubepari]] zilianza kudidimia kidogo.
 
Mijadala katika tamthilia hujenga migogoro ambayo ndiyo tegemeyotegemeo la uigizaji.wahusika Wahusika wa tamthilia hujidhihirisha wenyewe kwa maneno, mawazo na matendo yao na pia kwa jinsi mtunzi anavyowasawiri.sifa Sifa zao hujionyesha jukwanijukwaani; kwa mfano: unene, utajiri, ufukara, ujasiri,uoga woga n.k.
'''SIFA BAINIFU ZA TAMTHILIA'''
 
Tamthilia hutegemea sana ukamilifu wa mandhari jukwanijukwaani ili hadhira iiamini. mapamboMapambo ya jukwanijukwaani sharti yalingane na dhamira ili yafanikishe uigizaji.mapambo Mapambo na mandharitaamandhari: taa, giza, kicheko, kilio, kinaya, sauti mbalimbali hupatia tamthilia uhai kila inapoigizwa.
Tamthilia ya leo hugawanyika katika sehemu/matendo ambayo yana vijisehemu(maonyesho).kila uonyesho huendeleza hoja kuu za tendo.muungano wa matendo hujenga mtiririko wa maudhui na fani kwa kubainisha wahusika,mtindo na dhamira.
 
Jukwaa ndio uwanja wa kudihirishakudhihirisha tamthilia nzima.mpangilio Mpangilio wa jukwaa hufanikisha au kutatiza uigizaji. huweza rahisishakurahisisha/tatizakutatiza uelewa wa tamthilia.waigizaji Waigizaji wakinyimwa nafasi ya kuigiza kutokana na udogo wa jukwaa huenda uigizaji ukakwamishwa.uteuzi Uteuzi, mpangilio na matumizi ya jukwaa ni sehemu muhimu katika uigizaji, ili kuwezesha ufanisi wa uigizaji, waandishi wa tamthilia hutoa mielekezo na maagizo.
Tamthilia huhusisha mijadala na mazungumzo kati ya wahusika wawili na zaidi.mazungumzo katika tamthilia huwa mafupi ma yanajenga dhamira ya msanii mtunzi.tofauti na mazungumzo ya kawaida katika tamthilia huwa ya kasi na hufuata mkondo maalum wa mawazo tofauti nay a kawaida ambayo hubadili mikondo.
 
Hadhira na waigizaji huletwa pamoja na uigiazaji. bila hadhira uigizaji haujakamilika, mwandishi huwa amelenga watu wanaokusanyika katika thieta ili wajionee maigizo.hadhira Hadhira huwa ni kiwakilishi cha jamii pana ambayo msanii hulenga hisia zao.baadhi Baadhi ya tamthilia hushirikisha hadhira kwenye dhana ya kando, kimatendo kama vile kuimba, kijibu maswali.hadhira Hadhira hujumuishwa kihisia kila mara.bila Bila hadhira, ari na hamasa ya uigizaji itakuwa haipo.
Mijadala katika tamthilia hujenga migogoro ambayo ndiyo tegemeyo la uigizaji.wahusika wa tamthilia hujidhihirisha wenyewe kwa maneno,mawazo na matendo yao na pia kwa jinsi mtunzi anavyowasawiri.sifa zao hujionyesha jukwani mfano unene,utajiri,ufukara,ujasiri,uoga n.k.
 
Brecht akichangia natharianadharia ya ukengeushi alisema kuna pengo kati ya hadhira na waigizaji.kila Kila kundi liko katika dunia yake; kwa mfano waigizaji hutenda mambo yao kama kwamba hakuna anayewaona au kuwasikia.
Tamthilia hutegemea sana ukamilifu wa mandhari jukwani ili hadhira iiamini. mapambo ya jukwani sharti yalingane na dhamira ili yafanikishe uigizaji.mapambo na mandharitaa,giza,kicheko,kilio,kinaya,sauti mbalimbali hupatia tamthilia uhai kila inapoigizwa.
 
Tamthilia ya leo imebadilika kiwakati na kiutunzi ndiposa hadhira na wiagizajiwagizaji wakawa katika ulimwengu sawia na kushirikiana.tamthilia Tamthilia huhusishwa na uigizaji.tamthilia Tamthilia ya leo hujumuisha nyimbo, ngoma, hadithi, uzungumzi nafsia, kuchanganya ndimi n.k.
Jukwaa ndio uwanja wa kudihirisha tamthilia nzima.mpangilio wa jukwaa hufanikisha au kutatiza uigizaji.huweza rahisisha/tatiza uelewa wa tamthilia.waigizaji wakinyimwa nafasi ya kuigiza kutokana na udogo wa jukwaa huenda uigizaji ukakwamishwa.uteuzi,mpangilio na matumizi ya jukwaa ni sehemu muhimu katika uigizaji,ili kuwezesha ufanisi wa uigizaji,waandishi wa tamthilia hutoa mielekezo na maagizo.
 
Nafasi ya uigizaji hutegemea wahusika.licha Licha ya kuwa wao ni viumbe wa msanii, wao huongozwa na fasiri za mwelekezi wa uigizaji na kufahamu kwao wanachoigiza na uigizaji wenyewe.tamthilia Tamthilia moja inaweza kuigizwa tofautitofauti kwa kutegemea:
Hadhira na waigizaji huletwa pamoja na uigiazaji.bila hadhira uigizaji haujakamilika,mwandishi huwa amelenga watu wanaokusanyika katika thieta ili wajionee maigizo.hadhira huwa ni kiwakilishi cha jamii pana ambayo msanii hulenga hisia zao.baadhi ya tamthilia hushirikisha hadhira kwenye dhana ya kando,kimatendo kama vile kuimba,kijibu maswali.hadhira hujumuishwa kihisia kila mara.bila hadhira,ari na hamasa ya uigizaji itakuwa haipo.
-* Wakati  
 
-* Mazingira
Brecht akichangia natharia ya ukengeushi alisema kuna pengo kati ya hadhira na waigizaji.kila kundi liko katika dunia yake mfano waigizaji hutenda mambo yao kama kwamba hakuna anayewaona au kuwasikia.
* Uelekezi
 
Tamthilia ya leo imebadilika kiwakati na kiutunzi ndiposa hadhira na wiagizaji wakawa katika ulimwengu sawia na kushirikiana.tamthilia huhusishwa na uigizaji.tamthilia ya leo hujumuisha nyimbo,ngoma,hadithi,uzungumzi nafsia,kuchanganya ndimi n.k.
 
Nafasi ya uigizaji hutegemea wahusika.licha ya kuwa wao ni viumbe wa msanii wao huongozwa na fasiri za mwelekezi wa uigizaji na kufahamu kwao wanachoigiza na uigizaji wenyewe.tamthilia moja inaweza kuigizwa tofautitofauti kutegemea:
 
-Wakati  
 
-Mazingira
 
-uwelekezi
 
Ndiposa Pickening na Hoeper wakasema tamthilia ni kiuzi tu ilhali maigizo hubadilika na wakati.
 
Muundo wa tamthilia ya kisasa umeazima kutoka tamthilia za kiingerezaKiingereza ambazo ziliathiriwa na tamthilia ya ugirikiUgiriki.muundo huuMuundo huo huwa na sehemu tano:
#Utangulizi: Maelezo ya miktadha ya matukio hutolewa.maelezo Maelezo yataonyesha migogoro ambayo inajengeka.hutanguliza Hutanguliza wahusika na huand hayahuandhaya matukio.
#Utata: Hapa mambo huvurugika, hali hubadilika.ukinzani Ukinzani ukadhihirika wazi.
#Kipeo: Ni kilele cha ukinzani, kihisia na kimatendo, mambo ya kuonyesha hisia kama mapigano, ugomvi,uitengano utengano, msimamo dhabitithabiti n.k.masimulizi FulaniMasimulizi nnafulani na kufuata mkondo mpya wa mabadiliko ili kupata suluhisho.
#Msuko: Kipindi cha utulivu, migogoro hutulia .
#Matokeo: Suluhisho hutarajiwa au hupatikana.hutoa Hutoa nafasi ya kuendeleza dhamira ya mabadiliko.
#Mbinu za uelekezaji: Ufasili wa tamthilia. Kuhusisha matini zote kitamthilia (maneno ya wahusika na maelekezi ya jukwaa). Waigizaji wafaao, wakati ufaoufaao na eneo la drama. Uelewa wa kiwango cha uigizaji na jamii,. Ushirikiano wa matendo na maneno. Kuifahamu hadhira yake. Mandhari ya kuaminika. Mkabala mwema baina ya mwelekezi na waigizaji. Kutofautisha lugha ya kidrama na mazungumzo halisia. Kutathmini athari za uigizaji kwa hadhira.
 
==Mabadiliko na maendeleo ya tamthiliya za Kiswahili==
Utangulizi
Kwa kutumia muundo wa [[Shakespeare]], waandishi waliandika tamthiliya kwa lugha ya [[Kiswahili]] na zilihusisha masuala ya Kiafrika. Wakati wa [[ukoloni]], [[drama]] ilikuwa kwa ajili ya [[Wazungu]] na [[Waafrika]] wachache waliojua Kizungu. Baadaye, waandishi wazalendo waliotaka kuwasiliana na umma, iliwabidi watunge tamthiliya yao kwa lugha ya Kiswahili. Baadaye, licha ya tamthiliya kuzingatia matumizi ya lugha ya Kiswahili, walianza kuzitazama, kuchunguza na kuzifanyia majaribio.
 
Tamthiliya za awali, k.v. Wakati Ukuta na Heshima Yangu, hazikuwa na utohozi wa matumizi ya fani za sanaa za maonyesho ya jadi. Kuanzia mwishoni mwa [[miaka ya 1960]], na mwanzoni mwa [[miaka ya 1970]], tamthiliya zilianza kuonyesha mwelekeo mpya. Pia, [[falsafa]] na [[imani]] za Kiafrika kabla ya [[ubepari]] zilianza kudidimia kidogo.
Maelezo ya miktadha ya matukio hutolewa.maelezo yataonyesha migogoro ambayo inajengeka.hutanguliza wahusika na huand haya matukio.
 
Utata
 
Hapa mambo huvurugika,hali hubadilika.ukinzani ukadhihirika wazi.
 
Kipeo
 
Ni kilele cha ukinzani,kihisia na kimatendo,mambo ya kuonyesha hisia kama mapigano,ugomvi,uitengano,msimamo dhabiti n.k.masimulizi Fulani nna kufuata mkondo mpya wa mabadiliko ili kupata suluhisho.
 
Msuko  
 
Kipindi cha utulivu,migogoro hutulia
 
Matokeo
 
Suluhisho hutarajiwa au hupatikana.hutoa nafasi ya kuendeleza dhamira ya mabadiliko.
 
Mbinu za ulekezaji
 
Ufasili wa tamthilia.Kuhusisha matini zote kitamthilia(maneno ya wahusika na maelekezi ya jukwaa).Waigizaji wafaao,wakati ufao na eneo la drama.Uelewa wa kiwango cha uigizaji na jamii,Ushirikiano wa matendo na maneno
 
Kuifahamu hadhira yake.Mandhari ya kuaminika.Mkabala mwema baina ya mwelekezi na waigizaji.Kutofautisha lugha ya kidrama na mazungumzo halisia.Kutathuimini athari za uigizaji kwa hadhira.
 
==Historia ya tamthiliya za Kiswahili==