Demokrasia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:2019 Democracy index.svg|thumb|400px|Kiwango cha demokrasia duniani mwaka 2019.]]
[[File:Election MG 3455.JPG|thumb|Demokrasia inahusisha upigaji wa kura.]]
'''Demokrasia''' (kutoka [[neno]] la [[Kigiriki]] δημοκρατία, ''dēmokratía'', maana yake ''utawala wa watu'': δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake "[[utawala]]") ni aina ya [[serikali]].
Mstari 20:
[[Abraham Lincoln]], [[Rais]] wa 16 wa [[Marekani]], alisema Demokrasia ni serikali ya watu/mfumo wa utawala wa watu, kwa ajili ya watu na unaotokana na watu. Watu wanaunda serikali.
 
== Aina za Demokrasiademokrasia ==
# ''Demokrasia ya moja kwa moja'' (kwa [[Kiingereza]] "Direct Democracy") ni aina ya demokrasia ambayo wananchi wote wanaweza kushiriki katika kuamua masuala ya kisiasa, ya kijamii, ya kisheria na ya kiuchumi bila kutumia chombo cha uwakilishi kama vile [[bunge]]. Uwezo huu wa wananchi kutoa maamuzi unaweza kuwapa hata uwezo wa [[Mahakama|kimahakama]], ingawa mara nyingi wananchi hupewa uwezo wa kutunga au kupitisha sheria tu. Demokrasia ya moja kwa moja ni tofauti na demokrasia inayofuatwa katika nchi nyingi [[duniani]] hivi sasa, ambapo wananchi huchagua wawakilishi wao katika [[uchaguzi]]. Nchi ya Uswisi ni maarufu kwa mfumo wake wa demokrasia ya moja kwa moja ambako sheria nyingi zinaamuliwa na wananchi wote kwa njia ya kura.
# ''Demokrasia shirikishi'' ("Representative Democracy"): hapo wachache hupewa na wengi [[dhamana]] katika uwakilishi wa jamii katika maamuzi. Wachache huchaguliwa na wengi kwa njia ya demokrasia huru na ya [[haki]] kwa kufuata [[Katiba]] ya nchi hiyo. Mfano: Wabunge huwakilisha wananchi wao katika kuleta [[maendeleo]] na kuishauri serikali juu ya maendeleo ya nchi yao.