Simba S.C. : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing Simba_Sports_General_Meeting.jpg, it has been deleted from Commons by Regasterios because: No permission since 11 June 2020.
Mstari 8:
 
==Mabadiliko ya Utawala ndani ya klabu ya soka ya Simba==
 
[[Picha:Simba Sports General Meeting.jpg|thumb|left|Sehemu ya wanachama wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Mabadiliko mwaka 2019]]
Klabu ya soka ya Simba imesajiliwa kwa mujibu wa sheria namba 12 ya baraza la michezo la taifa ya mwaka 1967 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 1971. Katiba ya sasa ya timu ya Simba iliandikwa mwaka 2018 na kupitishwa tarehe 20 mayi 2018 na msajili wa vyama vya soka na klabu, na kisha kusajililiwa na wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA). Safari ya timu ya soka ya Simba kuelekea mabadiliko ilianza mwaka 2016 ambapo Kamati kuu kwa wakati ule ilibaini kwamba klabu iliendeshwa nje ya misingi na dira yake, hivyo kupelekea kushindwa kutimiza matarajio ya wadau wake, jambo lililopelekea kuwepo na ulazima wa kufanya mabadiliko ya kisasa kwa ajili ya maendeleo ya klabu.