Fahrenheit : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mifano: Please translate all of it into Swahili, because this map and file has three colored categories and legends.
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Raumthermometer Fahrenheit+Celsius.jpg|thumb|300px|Thermomita inayoonyesha vizio vya Fahrenheit na Selsiasi wakati moja]]
[[File:Countries that use Fahrenheit.svg|thumb|350px|{{legend|#339933|Nchi ambako bado wanatumia Fahrenheit.}}
{{legend|#66cc99|CountriesNchi thatzinazotumia useFahrenheit both Fahrenheitpamoja andna Celsius.}}
{{legend|#cccccc|CountriesNchi that usezinazotumia Celsius.}}]]
'''Fahrenheit''' (kikamilifu '''vizio vya fahrenheit''') ni [[kipimo]] cha [[halijoto]]. [[Alama]] yake ni '''°F'''.
 
Skeli ya fahrenheit ilibuniwa 1724 na mwanafizikia [[Ujerumani|Mjerumani]] [[Daniel Gabriel Fahrenheit]]. Ilikuwa skeli ya kupima halijoto iliyotumiwa sana duniani lakini wakati wa karne ya 20 skeli ya [[selsiasi]] ilichukua nafasi yake kwa sababu inalingana na [[vipimo sanifu vya kimataifa]]. Leo hii fahrenheit hutumiwa hasa [[Marekani]] na nchi chache nyingine kama [[Belize]].