Nelson Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 38:
 
Akaendelea kusoma katika shule ya Kimethodisti aliposoma [[Kiingereza]], [[Kixhosa]], [[historia]] na [[jiografia]]. Katika [[ikulu]] ya chifu alisikia masimulizi mengi kuhusu historia ya Waafrika kutoka wageni waliokuja kumwaona [[baba wa kambo]].
 
<br />
 
===Elimu===