Nelson Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Bobbyshabangu (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 18:
'''Nelson Rolihlahla Mandela''' ([[18 Julai]] [[1918]] - [[5 Desemba]] [[2013]]) alikuwa [[mwanasiasa]] nchini [[Afrika Kusini]], kiongozi wa mapambano dhidi ya [[siasa]] ya [[ubaguzi wa rangi]] ([[apartheid|Apartheid)]], mfungwa [[jela]] kwa miaka 27 halafu [[rais]] wa kwanza aliyechaguliwa [[Demokrasia|kidemokrasia]] katika nchi yake.
 
Alikuwa [[mwanasheria]] na mwanachama, baadaye kiongozi wa [[Chama cha kisiasa|chama]] cha [[ANC]] kilichopigania [[haki za binadamu]] wote nchini [[Afrika]] Kusini.
 
==Maisha==
Mstari 38:
 
Akaendelea kusoma katika shule ya Kimethodisti aliposoma [[Kiingereza]], [[Kixhosa]], [[historia]] na [[jiografia]]. Katika [[ikulu]] ya chifu alisikia masimulizi mengi kuhusu historia ya Waafrika kutoka wageni waliokuja kumwaona [[baba wa kambo]].
 
<br />
 
===Elimu===