Nanyala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Nanyala ''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa Songwe]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,914 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53315.
 
Karibu na Nanyala visukuku vimegunduliwa katika matabaka ya miamba ya [[jiwe mchanga]]. ProfesaWataalamu PAtrickWamarekani O'Connor alitambuawalitambua [[visukuku]] vya aina ya [[ndezi]] yenye umri wa miaka milioni 24.95 aliyepewa jina la "Kahawamys Mbeyaensis"<ref>Kahawamys Mbeyaensis (N. Gen., N. Sp.) (Rodentia: Thryonomyoidea) from the late oligocene Rukwa Rift Basin, Tanzania; Nancy J. Stevens,Patricia A. Holroyd, Eric M. Roberts, Patrick M. O’Connor, and Michael D. Gottfried, katika Journal of Vertebrate Paleontology 29(2):631–634, June 2009</ref>
 
==Marejeo==