Nanyala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Nanyala ''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya ya Mbozi]] katika [[Mkoa wa Songwe]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,914 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53315.
 
Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,914 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC]</ref> walioishi humo.
Karibu na Nanyala visukuku vimegunduliwa katika matabaka ya miamba ya [[jiwe mchanga]]. Wataalamu Wamarekani walitambua [[visukuku]] vya aina ya [[ndezi]] yenye umri wa miaka milioni 24.95 aliyepewa jina la "Kahawamys Mbeyaensis"<ref>Kahawamys Mbeyaensis (N. Gen., N. Sp.) (Rodentia: Thryonomyoidea) from the late oligocene Rukwa Rift Basin, Tanzania; Nancy J. Stevens,Patricia A. Holroyd, Eric M. Roberts, Patrick M. O’Connor, and Michael D. Gottfried, katika Journal of Vertebrate Paleontology 29(2):631–634, June 2009</ref>
 
[[Msimbo wa posta]] ni 53315.
 
Karibu na Nanyala [[visukuku]] vimegunduliwa katika [[matabaka]] ya [[miamba]] ya [[jiwe mchanga]]. [[Wataalamu]] [[Wamarekani]] walitambua [[visukuku]] vya aina ya [[ndezi]] yenye [[umri]] wa miaka [[milioni]] 24.95 aliyepewa [[jina]] la "Kahawamys Mbeyaensis"<ref>Kahawamys Mbeyaensis (N. Gen., N. Sp.) (Rodentia: Thryonomyoidea) from the late oligocene Rukwa Rift Basin, Tanzania; Nancy J. Stevens,Patricia A. Holroyd, Eric M. Roberts, Patrick M. O’Connor, and Michael D. Gottfried, katika Journal of Vertebrate Paleontology 29(2):631–634, June 2009</ref>
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Mbozi}}
{{mbegu-jio-mbeyasongwe}}
 
[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]