Tanzanaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Zoïsite (Tanzanite).jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Tanzanite taillée.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
'''Tanzanaiti''' (kwa [[Kiingereza]]: ''(Tanzanite)'') ni [[kito]] chenye [[rangi]] ya [[buluu]] hadi [[zambarau]] na [[kijani]]. Inachimbwa [[kaskazini]] mwa [[Tanzania]] tu.
 
Kito hikihicho kinapendwa sana kimataifa; [[bei]] zake zilicheza kati ya [[Dola ya Marekani|dola za Marekani]] 250 na 500 kwa [[karati]] moja (=milli[[gramu]] 200).
 
[[Kemia|Kikemia]] ni aina ya [[madini]] ya [[Zoiziti]] ambayo haina [[thamani]] kubwa vile katika [[umbo|maumbo]] mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha [[moto]] [[fuwele]] za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.
 
Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza [[mwaka]] [[1967]] katika [[milima]] ya [[Mererani]] kwenye [[Wilaya ya Simanjiro]], karibu na [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro]] na [[mji]] wa [[Arusha]]. Ili gunduliwaIligunduliwa na mtanzaniaMtanzania aitwaye Jumanne Mhero Ngoma [[Mkoa wa Manyara|mkoani Manyara]]. Manuel D'souza alituma Samposampuli hiyo kwa mwanageologia[[mwanajiolojia]] John saulSaul ambaye ana [[cheo]] cha [[PhD]] kutoka chuo cha M.I.T., ambaye alituma Samposampuli hiyo kwababakwa baba yake, ika pelekwaikapelekwa havardHavard University kwa wataalamu wa madini na kuthibitishwa kwamba ilikuwa ni kito cha Aina ya Zoizite.
 
==Viungo vya nje==
Mstari 17:
* [http://www.irinnews.org/Film/?id=4119 Gem Slaves - a short film from 2006 on tanzanite's child miners]
* [http://www.palagems.com/Images/mineral_news/munich09_tanz.jpg A picture of a purported 737.81 carat faceted tanzanite] (No reliable source to corroborate)
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Category:Madini]]
[[Jamii:Tanzania]]