Mataifa ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Nchi hizo zilipigana dhidi ya [[Ufaransa]], [[Ufalme wa Maungano|Uingereza]], [[Ubelgiji]], [[Ureno]], [[Serbia]], [[Urusi]] na [[Italia]]. Tangu mwaka 1917 Urusi ilitoka katika vita lakini Marekani na nchi mbalimbali zilingia upande wa ushirikiano, mfano Najd (baadaye Saudia), Japani, na nchi mbalimbali za Amerika ya Kusini.
 
Mataifa ya Kati yalishindwa; tokeo la vita lilikuwa mwisho na mgawanyo wa DolaMilki laya Osmani na milkiMilki ya Austria-Hungaria, pamoja na kutokea kwa idadi ya nchi mpya katika Ulaya ya Mashariki ([[Poland]], [[Chekoslovakia]], [[Kroatia]]), na kukabidhiwa kwa [[koloni za Ujerumani]] (pamoja na Tanganyika, Rwanda, Burundi) kwa nchi nyingine kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]].