Mataifa ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map 1914 WWI Alliances.jpg|thumb|Mataifa ya Kati (Central Powers (nyekundu)) na wapinzani wao katika Ulaya wakati wa Vita Kuu ya Kwanza.]]
'''Mataifa ya Kati''' yalikuwa [[ushirikiano]] wa nchi zilizoshikamana katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] dhidi ya [[Mataifa ya Ushirikiano]]. Nchi hizo zilikuwa [[Dola la Ujerumani|Ujerumani]], [[Austria-Hungaria]], [[Milki ya Osmani]] (baadaye [[Uturuki]]) na [[Bulgaria]].
 
Nchi hizo zilipigana dhidi yana [[Ufaransa]], [[Ufalme wa Maungano|Uingereza]], [[Ubelgiji]], [[Ureno]], [[Serbia]], [[Urusi]] na [[Italia]]. Tangu mwaka [[1917]] Urusi ilitoka katika [[vita]] lakini [[Marekani]] na nchi mbalimbali zilingia upande wa ushirikiano, mfano [[Najd]] (baadaye [[Saudia]]), [[Japani]], na nchi mbalimbali za [[Amerika ya Kusini]].
 
Mataifa ya Kati yalishindwa; tokeo la vita lilikuwa mwisho na mgawanyo wa Milki ya Osmani na Milki ya Austria-Hungaria, pamoja na kutokea kwa [[idadi]] ya nchi mpya katika [[Ulaya ya Mashariki]] ([[Poland]], [[Chekoslovakia]], [[Kroatia]]), na kukabidhiwa kwa [[koloni za Ujerumani]] ([[Namibia]], [[Togo]] na [[Kamerun]] pamoja na [[Tanganyika]], [[Rwanda]], [[Burundi]]) kwa nchi nyingine kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]].
'''Mataifa ya Kati''' yalikuwa ushirikiano wa nchi zilizoshikamana katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] dhidi ya [[Mataifa ya Ushirikiano]]. Nchi hizo zilikuwa [[Dola la Ujerumani|Ujerumani]], [[Austria-Hungaria]], [[Milki ya Osmani]] (baadaye [[Uturuki]]) na [[Bulgaria]].
 
Nchi hizo zilipigana dhidi ya [[Ufaransa]], [[Ufalme wa Maungano|Uingereza]], [[Ubelgiji]], [[Ureno]], [[Serbia]], [[Urusi]] na [[Italia]]. Tangu mwaka 1917 Urusi ilitoka katika vita lakini Marekani na nchi mbalimbali zilingia upande wa ushirikiano, mfano Najd (baadaye Saudia), Japani, na nchi mbalimbali za Amerika ya Kusini.
 
Mataifa ya Kati yalishindwa; tokeo la vita lilikuwa mwisho na mgawanyo wa Milki ya Osmani na Milki ya Austria-Hungaria, pamoja na kutokea kwa idadi ya nchi mpya katika Ulaya ya Mashariki ([[Poland]], [[Chekoslovakia]], [[Kroatia]]), na kukabidhiwa kwa [[koloni za Ujerumani]] (pamoja na Tanganyika, Rwanda, Burundi) kwa nchi nyingine kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]].
 
 
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]