Mataifa ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 4:
Nchi hizo zilipigana na [[Ufaransa]], [[Ufalme wa Maungano|Uingereza]], [[Ubelgiji]], [[Ureno]], [[Serbia]], [[Urusi]] na [[Italia]]. Tangu mwaka [[1917]] Urusi ilitoka katika [[vita]] lakini [[Marekani]] na nchi mbalimbali zilingia upande wa ushirikiano, mfano [[Najd]] (baadaye [[Saudia]]), [[Japani]], na nchi mbalimbali za [[Amerika ya Kusini]].
 
Mataifa ya Kati yalishindwa; tokeo la vita lilikuwa mwisho na mgawanyo wa Milki ya Osmani na Milki ya Austria-Hungaria, pamoja na kutokea kwa [[idadi]] ya nchi mpya katika [[Ulaya ya Mashariki]] ([[Poland]], [[Chekoslovakia]], [[Kroatia]]), na kukabidhiwa kwa [[kolonimakoloni zaya Ujerumani]] ([[Namibia]], [[Togo]] na [[Kamerun]] pamoja na [[Tanganyika]], [[Rwanda]], [[Burundi]]) kwa nchi nyingine kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]].
 
{{mbegu-historia}}