Siasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 12:
ni mfumo wa uongozi unaotoa madaraka yasiyo na mipaka kwa [[kiongozi]]. Katika utawala huu watu binafsi hawana [[haki]] na [[uhuru]] katika maamuzi.
==Utawala finyu==
ni mfumo unaowapa wachache kati ya wengi nguvu za maamuzi katika dola na serikali. Nafasi ya wachache hawa hutokana na [[haiba]] na [[uwezo]] wao ki[[uchumi]], ki[[jamii]], ki[[jeshi]] au kutokana na mafanikio yao katika nyanja mbalimbali za maisha. Mfumo huu ni nadra sana siku za hivi karibuni. Pia waweza kuitwa utawala wa ma[[kabaila]].
 
==Utawala wa Umma==
ni utawala unaotokana na jamii kuamua misingi ya kujiongoza. Mfumo huu wa utawala hujulikana kama Utawala wa Kidemokrasia na umegawanyika katika sehemu nne.