Wadudu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza spishi
Masahihisho
 
Mstari 4:
| picha = Coléoptère schématique.jpg
| upana_wa_picha = 300px
| maelezo_ya_picha = Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. MandibulaMandibuli (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma.
| himaya = [[Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Arthropoda]] <small>(Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)</small>
Mstari 22:
'''Wadudu''' wa kweli (tazama [[mdudu]]) ni kundi la [[arithropodi]] wadogo kiasi ambalo lina [[spishi]] nyingi [[dunia]]ni. [[biolojia|Kibiolojia]] wako katika [[ngeli]] ya [[Insecta]].
 
Wadudu wanashirikiana kuwa na [[muundo]] wa [[kiwiliwilimwili]] chenye pande tatu za [[kichwa]] mbele, [[kidari]] katikati na [[fumbatio]] nyuma, halafu jozi tatu za [[miguu]] na kwa kawaida jozi mbili za [[mabawa]]. Kwa nje kiwiliwili kinafunikwa kwa [[khitini]] yenye kazi ya [[kiunzi nje]].
 
Hadi sasa [[wataalamu]] waliainisha zaidi ya spishi [[milioni]] 1 za wadudu na [[kadirio|makadirio]] ni kwamba kuna spishi nyingi zaidi, labda hadi milioni 30.