Konokono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
Masahihisho
Mstari 20:
* [[Vetigastropoda]]
}}
'''Konokono''' au(pia '''koa''' nilakini jinakwa lakweli jumlani [[kombe]] la konokono) [[mnyama|wanyama]] wa [[ngeli]] ya [[Gastropoda]] katika [[faila]] [[Mollusca]] wenye kombe lililojiviringisha na wawapo katika hatua ya ukubwa. Neno konokono linapatumikalinatumika hujumuishakujumuisha konokonowale wa baharini[[nchi kavu]], wa nchi[[maji kavubaridi]] na walewa maji baridi[[bahari]]. Vinginevyo[[Spishi]] viumbenyingi wenginezina wanaofanana[[koa]] lililojiviringisha na konokonokukua lakinikatika wanakosahatua. kombeSpishi nyingine zinakosa koa (au wanalozinalo dogo sana ) na huitwa [[konokono uchi]].
 
Konokono hupatikana maeneo mengi kama vile miferejini, jangwani, hata kwenye vina virefu baharini. Ingawa watu wengi wanaufahamu na konokono wanaopatikana nchi kavu tu, hawa wa ardhini ni kidogo mno. Konokono wa majini ndio wengi sana na huchangia kiasi kikubwa cha spishi ya konokono na wana aina nyingi sana na hata maumbo ya kibailojia makubwa zaidi. Konokono wengine wengi kiasi pia hupatikana kwenye maji baridi. Konokono wengi hula majani, japo baadhi yao hula majani na nyama, na wengine huwinda na kula nyama tu.
Mstari 28:
 
== Aina za konokono kulingana na makazi ==
 
"Slugs" ([[konokono uchi]], yaani wasiye na koa)
 
Spishi aina ya gastropod ambao hawana na koa kwa ujumla huitwa slugs badala ya konokono, ingawa, licha ya kutokuwa na makombe au hata kama wanakuwa na makombe madogo, hakuna tofauti kubwa baina ya konokono na slugs zaidi ya tabia na makazi. Kama ilivyo mnyama asiye na kombe anaweza kujongea kwa urahisi, na hivyo hata slugs wakubwa kabisa wanaweza kufanikiwa kuishi katika mazingira tofauti na hata kutosha katika sehemu ndogo sana, ambazo hazitoshi hata konokono wadogo, kama vile kwaenye magamba ya miti yaliyolegea au chini yam awe, magogo au vipande vya mbao vilivyo ardhini.