Konokono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
dNo edit summary
 
Mstari 20:
* [[Vetigastropoda]]
}}
'''Konokono''' (pia '''koa''' lakini kwa kweli ni [[kombe]] la konokono) ni [[mnyama|wanyama]] wa [[ngeli]] ya [[Gastropoda]] katika [[faila]] [[Mollusca]]. Neno konokono linatumika kujumuisha wale wa [[nchi kavu]], wa [[maji baridi]] na wa [[bahari]]. [[Spishi]] nyingi zina [[koa]] lililojiviringisha na kukua katika hatua. Spishi nyingine zinakosa koa (au zinalo dogo sana) na huitwa [[konokono uchi]].
 
Konokono hupatikana maeneo mengi kama vile miferejini, jangwani, hata kwenye vina virefu baharini. Ingawa watu wengi wanaufahamu na konokono wanaopatikana nchi kavu tu, hawa wa ardhini ni kidogo mno. Konokono wa majini ndio wengi sana na huchangia kiasi kikubwa cha spishi ya konokono na wana aina nyingi sana na hata maumbo ya kibailojia makubwa zaidi. Konokono wengine wengi kiasi pia hupatikana kwenye maji baridi. Konokono wengi hula majani, japo baadhi yao hula majani na nyama, na wengine huwinda na kula nyama tu.