Nge-mjeledi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiingereza
Nyongeza matini
 
Mstari 17:
** [[Typopeltinae]]
}}
'''Nge-mjeledi''' (kutoka [[Kiingereza]] [[w:Thelyphonida|whip scorpion]]) ni [[arithropodi]] wa [[oda]] [[Thelyphonida]] katika ngeli [[Arakinida|Arachnida]] wafananao na [[nge]] wa kawaida. Kama hawa wana [[mguu|miguu]] minane na [[pedipalpi]] zenye gando. Mjeledi wa jina lao ni aina ya mkia mrefu na mwembamba. Kama kawaida kiwiliwili[[mwili]] chaowao kinauna sehemu mbili: [[kefalotoraksi]] ([[w:cephalothorax|cephalothorax]]: [[kichwa]] na [[kidari]]) na [[fumbatio]] zilizoungwa kwa [[pediseli]] ([[w:pedicel|pedicel]]) nyembamba kwa umbo wa mrija. Nge-mjeledi wana [[jicho|macho]] manane, mawili mbele ya kefalotoraksi na matatu kwa kila upande wa [[kichwa]]. Pedipalpi zao zinafanana na zile za nge, lakini zina mwiba nyuma ya gando na [[neno|maneno]] magumu kwa kitako chao ambayo hutumika kwa kukamua mawindo. Miguu sita tu hutumika kwa kutembea. Jozi ya kwanza imekuwa mirefu kuliko mingine na hutumika kama [[kipapasio|vipapasio]].

Nge-mjeledi hawana [[sumu]] lakini wana [[tezi|matezi]] yanayotoa mchanganyiko wa [[asidi]] ya asetiki na asidi ya kapriliki wakisumbuliwa. Hula arithropodi wengine, pengine [[nyungunyungu]] na [[konokono uchi|makonokono uchi]] pia.
 
Katika [[Afrika]] kuna spishi moja tu, ''Etienneus africanus'', inayotokea [[Afrika ya Magharibi]].
 
==Picha==