Femi Oke : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
picha
Mstari 1:
{{Infobox journalist
| namejina = Femi Oke
| imagepicha = [[Image:Femi Oke.jpg|200px]]
|kazi yake = Mwandishi
|utaifa = Mwingereza
 
}}
 
[[Image:Femi Oke.JPG|thumb|Femi Oke]]
'''Femi Oke''' (alizaliwa [[1966]]) ni mtangazaji na mwandishi wa habari wa televisheni wa Uingereza.
Femi alizaliwa nchini Uingereza na wazazi wenye asili ya [[Nigeria]]. Yeye ni msomi wa [[Chuo Kikuu cha Birmingham]], ambako alipata shahada ya Bachelors katika maandiko ya Kiingereza na lugha. Sasa anaishi mjini [[New York]] na anaonekana kila siku kama mtangazaji na mhoijanaji katika kipindi cha redio cha ''[[The Takeaway]]'' katika kituo cha redio cha 'Public Radio International'.