Papa Leo II : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:LeoII.jpg|thumb|220px|Mt. Leo II.]]
'''Papa Leo II''' ([[jina]] la awali: lilikuwa '''Leo Maneius''') alikuwa [[papa]] kuanzia [[tarehe]] [[17 Agosti]] [[682]] hadi [[kifo]] chake tarehe [[3 Julai]] [[683]].
 
Mzaliwa wa [[kisiwa]] cha [[Sisilia]] au wa [[mkoa]] wa [[Calabria]], [[Italia Kusini]], jina la [[baba]] yake lilikuwa Paulo Manejo.
 
Alimfuata [[Papa Agatho]], akafuatwa na [[Papa Benedikto II]].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Waorthodoksi]] na [[Wakatoliki]] kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kila [[mwaka]] [[tarehe]] ya [[kifo]] chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 14 ⟶ 18:
== Viungo vya nje ==
*[http://www.newadvent.org/cathen/09157a.htm Kuhusu Papa Leo II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki]
 
{{mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{mbegu-Papa}}
{{DEFAULTSORT:Leo II}}