Panteno : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 3:
Tangu kale anaheshimiwa na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[Wakatoliki]] kama [[mtakatifu]].
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa nao [[tarehe]] [[22 Juni]] na [[7 Julai]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref><ref>http://catholicsaints.info/saint-pantaenus-of-alexandria/</ref>.
==Maisha==
Mstari 13:
Kadiri ya [[Jeromu]] chuo cha Aleksandria ilianzishwa na [[Mwinjili Marko]]. Baadaye anatajwa [[Athenagora wa Athene]] ([[176]]), lakini kwa hakika zaidi Panteno, aliyeacha [[uongozi]] kwa [[mwanafunzi]] wake bora, [[Klementi wa Aleksandria]] mwaka [[190]].<ref>Cross, F.L.; Livingstone, E.A., eds. (1974). "Clement of Alexandria, St.". The Oxford Dictionary of the Christian Church (2 ed.). Oxford: Oxford University Press.</ref> Huyo alifuatwa na [[Origene]] akiwa na [[umri]] wa miaka 18 tu, na wataalamu wengine wanaoheshimiwa kama watakatifu katika [[Kanisa la Kiorthodoksi]] na [[Kanisa Katoliki]] kama [[Gregori Mtendamiujiza]], [[Heraklas]], [[Dionisi wa Aleksandria]] na [[Didimo Kipofu]].
[[Eusebi wa Kaisarea]] anasimulia kuwa Panteno alikwenda kama [[mmisionari]]<ref>Cf.Article "Christian Influences on Hinduism before the European Period" by P. Thomas in the St. Thomas Christian Encyclopaedia of India, Vol.II, 1973, p. 177 et. sq.</ref> hadi [[India]].<ref>[http://www.newadvent.org/fathers/250105.htm ''Church History''] by Eusebius. Book V Chapter 10. Pantaenus the Philosopher.</ref><ref>Article by S. S. Koder, "History of the Jews in Kerala", in the St. Thomas Christian Encyclopaedia of India, Vol. II, 1973, pp.183 ff.</ref><ref>[https://books.google.com/books?id=lZUBZlth2qgC&printsec=frontcover&dq=isbn:9780802824172&hl=en&sa=X&ei=i5ncVJiVJ4u4uATrlIGoAg&ved=0CB8Q6wEwAA#v=onepage&q=Muziris&f=false ''The Encyclopedia of Christianity, Volume 5''] by Erwin Fahlbusch. Wm. B. Eerdmans Publishing - 2008. p. 285.
Hatimaye alirudi Aleksandria, alipofariki [[dunia]] kwa amani wakati wa [[kaisari]] [[Caracalla]].
==Tazama pia==
|