Mji mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Nchi mbalimbali zilizowahi kuwa koloni zimeamua kuanzisha mji mkuu mpya kwa sababu mji mkuu wa kikoloni uliteuliwa kutokana na mahitaji ya nchi tawala ya zamani si kutokana na mahitaji ya nchi huru yenyewe. Wakati wa ukoloni mara nyingi mji kwenye pwani penye bandari uliteuliwa kuwa mji mkuu. Sababu yake ni ya kwamba kwa ajili ya maafisa wa kikoloni mawasiliano na nyumbani kwao yalikuwa muhimi sana kushinda mawasiliano na sehemu zote za nchi ya koloni yenyewe. Wakati wa ukoloni usafiri ulikuwa kwa meli, hivyo kipaumbele cha mabandari. Katika fikra za kisiasa na za kiuchumi sababu muhimu ya kuwa na koloni ilikuwa nafasi ya nchi tawala kujipatia malighafi katika koloni na kuuza bidhaa zake - yote yalitegemea mabandari. Hasara ya chaguo lile ilikuwa ya kwamba mara nyingi mabandari ni kando kabisa katika nchi zao - watu wengi wako mbali na mji mkuu.
 
'''[[Brazil]]''': Hapo Wabrazil wamehamisha mji mkuu kutoka [[Rio de Janeiro]] uliyoko pwani na kandokando la eneo la Brazil kwenda mji mpya wa [[Brasilia|Brasília]] kuanzia mwaka 1960. Brasilia ilijengwa mahali pasipo na mji katika miaka 1956 - 1960 [[BK]].
 
Kwa nia hiyohiyo '''[[Tanzania]]''' iliamua kuhamisha mji mkuu kutoka [[DaressalaamDar es Salaam]] uliyoko pwani la [[Bahari Hindi]] kwenda [[Dodoma]] iliyoko katikati ya Tanzania. Uhamisho huu umepangwa tangu 1967 na kutangazwa rasmi mwaka 1997 lakini haujatekelezwa bado. Ni ofisi chache za serikali zimehamia hapo. Watanzania wanaochoka na kuchelewe huku waangalie mfano wa Brazil: Katiba ya Brazil ya mwaka 1891 ilishataja mahali pa mji mkuu mpya badala ya Rio de Janeiro lakini mipango haikuanza hadi 1926 halafu ujenzi ulianza 1956!
 
* Tazama chini: Nigeria, Côte d'Ivoire
Mstari 26:
'''[[Marekani]]''' iliteua eneo la [[Mkoa wa Colombia]] kuwa mahali pa mji mpya wa shirikisho ulioitwa baadaye kwa jina la raisi wa kwanza "[[Washington]]". Mkoa wa Colombia si sehemu ya dola lolote la shirikisho la Marekani. Mji wa [[Washington D.C.]] na mkoa wa Colombia ni eneo lilelile.
 
'''[[Australia]]''' ilijenga mji mkuu mpya kwa sababu miji mikubwa ya Sydney na Melbourne yote yalitaka kuwa mji mkuu wa kitaifa wa Shirikisho la Australia. Mwaka 1908 eneo la Canberra lililokuwa mashambani wakati ule liliteuliwa, ujenzi wa mji mpya ulianza mwaka 1913 na serikali pamoja na bunge ilihamia Canberra mwaka 1927. Dola la shirikisho la [[New South Wales]] lilikabidhi "Eneo la Mji Mkuu wa Shirikisho" lililokuwa eneo la pekee chini ya Bunge la Australia moja kwa moja.
 
'''[[Nigeria]]''' iliamua mwaka 1976 kuhamisha mji mkuu wa kitaifa kutoka [[Lagos]] kwenda mahali pa katikati ya nchi. "Eneo la Mji Mkuu wa Shirikisho" limeteuliwa. Mji mpya wa [[Abuja]] ndani ya eneo hili ukawa mji mkuu wa Nigeria mwaka 1991.
Mstari 36:
'''[[Bolivia]]''' ina mji mkuu rasmi katika jiji la [[Sucre]], lakini ofisi nyingi za serikali ya kitaifa zimehamia mji mkubwa wa nchi [[La Paz]].
 
'''[[Côte d'Ivoire]]''' imetangaza 1983 [[Yamoussoukro]] kuwa mji mkuu wa taifa lakini hadi leo ofisi za serikali zimebaki [[AbijanAbidjan]].
 
[[Jamii:Miji mikuu]]