Dafrosa Itemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Dafrosa Kokulingilila Itemba''' ni [[Mkurugenzi|Mkurugenzi mkuu]] wa TAWREF (''Tanzania Women Research Foundation'')
nchini [[Tanzania]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/2019-07-205d32c2d26f8bb.aspx iliangaliwa mnamo 08 Aprili 2020</ref>.
Mnamo mwaka 2019, Dafrosa chini ya TAWREF walifikia kilele cha ujenzi wa nyumba 116 za bei ya nafuu kwa yatima na watoto waishio katika mazingira magumu, mradi ulioanza tangu 2012. <ref>https://dailynews.co.tz/news/2019-07-205d32c2d26f8bb.aspx</ref>
 
==Kazi==
Dafrosa amechapisha makala mbalimbali juu ya [[ugonjwa]] wa [[UKIMWI]],mojawapo ya makala zake ni
* Ufanisi wa gharama ya ushauri wa bure wa VVU na upimaji hiari kupitia Mashirika ya kijamii ya huduma za UKIMWI katika jamii za Kaskazini mwa Tanzania.<ref>https://www.semanticscholar.org/paper/Cost-effectiveness-of-free-HIV-voluntary-counseling-Thielman-Chu/ac418947ba9663beea5fa7d2f5d79162bc727cb0</ref>
* Historia ya Kiwewe na Unyogovu wa Kutabiri Kukamilika kwa Utiifu wa Matibabu ya Ukingaji Katika Nchi zenye kipato duni<ref>https://www.semanticscholar.org/paper/Trauma-History-and-Depression-Predict-Incomplete-to-Whetten-Shirey/ad72dddc2afb1e10a7994c1f1ac20bb64a91f65a</ref>
Makala nyingine ziko katika kiungo [https://www.semanticscholar.org/author/Dafrosa-K.-Itemba/3949165 hiki]