Mbangi-katani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
dNo edit summary |
||
Mstari 18:
'''Mbangi-katani''' au '''mkatani''' (''Cannabis sativa'') ni [[mmea]] unaokuzwa hususa kwa matumizi ya [[kiwanda|viwandani]] ya vifundiro vyake. Una ukolezi wa chini wa [[dawa ya kulevya]] [[tetrahydrocannabinol]] ([[THC]]) kuliko [[mbangi-dawa]] ulio au [[nususpishi]] (''C. sativa'' ssp. ''indica'') au [[spishi]] tofauti (''C. indica''). Mkatani una viwango vya juu vya [[cannabidiol]] (CBD), ambayo hupunguza au kuondoa athari ya THC. Uhalali wa mkatani unatofautiana sana kati ya nchi. [[Serikali]] nyingine zinasimamia ukolezi wa THC na huruhusu mkatani tu ambao unakuzwa kwa yaliyomo ya chini ya THC.
Mmea huu
Jina mkatani linagawiwa kati ya mbangi-katani na [[mkonge dume]] na vitembwe na nyuzi za spishi hizo mbili huitwa [[katani]].
|