Nge-mjeledi kibete : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza kigezo:jaribio
Nyongeza spishi za Afrika
Mstari 16:
'''Nge-mjeledi vibete''' (kutoka [[Kiing.]] [[w:Palpigradi|microwhip scorpion]]) ni [[arithropodi]] wa [[oda]] [[Palpigradi]] katika ngeli [[Arakinida|Arachnida]] wafananao na [[nge-mjeledi]] wadogo kabisa. Kwa kadiri urefu wao ni mm 1-1.5 na mm 3 ni urefu mkubwa kabisa.
Kama arakinida wote wana [[mguu|miguu]] minane, lakini jozi ya kwanza imekuwa kama maungo ya hisi. Kwa upande mwingine [[pedipalpi]] hutumika kwa kutembea, kwa hivyo inaonekana kama wadudu hawa wana miguu kumi. Mjeledi wa jina lao ni aina ya mkia mrefu na mwembamba wenye manyoya; urefu wake uneweza kuwa sawa na urefu wa kiwiliwili. Kama kawaida kiwiliwili kina sehemu mbili: [[kefalotoraksi]] ([[w:cephalothorax|cephalothorax]]: [[kichwa]] na [[kidari]]) na [[fumbatio]]. Nge-mjeledi vibete hawana [[jicho|macho]] na kwa kawaida hawana maungo ya kupumua; hupata [[oksijeni]] kupitia kutikuli (“[[ngozi]]”) yao kwa ajili ya ukubwa wao mdogo sana. Lakini spishi kadhaa zina vifuko fumbationi vinavyofanana na [[mapafu]]. Wadudu hawa huishi katikati ya chembe za ardhi ambapo hula vijidudu na viani.
 
==Spishi za Afrika==
* ''Allokoenenia afra''
* ''Eukoenenia angolensis'' (Rémy, 1956)
* ''Eukoenenia ankaratrensis'' Rémy, 1960
* ''Eukoenenia antanosa'' (Rémy, 1950)
* ''Eukoenenia bara '' (Rémy, 1950)
* ''Eukoenenia berlesei'' (Silvestri, 1903)
* ''Eukoenenia chartoni'' (Rémy, 1950)
* ''Eukoenenia deceptrix'' Rémy, 1960
* ''Eukoenenia delphini'' (Rémy, 1950)
* ''Eukoenenia depilata'' Rémy, 1960
* ''Eukoenenia fossati'' Rémy, 1960
* ''Eukoenenia hesperia'' (Rémy, 1953)
* ''Eukoenenia lauteli'' (Rémy, 1950)
* ''Eukoenenia lawrencei'' Rémy, 1957
* ''Eukoenenia machadoi'' (Rémy, 1950)
* ''Eukoenenia maroccana'' Barranco and Mayoral, 2007
* ''Eukoenenia meridiana'' Rémy, 1960
* ''Eukoenenia necessaria'' Rémy, 1960
 
{{Jaribio1| maneno_ya_asili = microwhip scorpion | lugha = Kiingereza | maneno_ya_jaribio = nge-mjeledi kibete }}