Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kwa majina halisi anaitwa Kelvin Kenedy Kyaluoko,Jina maarufu ni Kibenje jina la pili alilopewa na wazazi wake. Alizaliwa tarehe 21 February 1995 wilayani Bihar...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:09, 8 Julai 2020

Kwa majina halisi anaitwa Kelvin Kenedy Kyaluoko,Jina maarufu ni Kibenje jina la pili alilopewa na wazazi wake. Alizaliwa tarehe 21 February 1995 wilayani Biharamulo mkoa wa Kagera.

ELIMU. Alianza darasa la kwanza mwaka 2002 katika shule ya msingi Biharamulo na kuhitimu 2018 kisha kujiunga na sekondari ya KAGANGO wilayani Biharamulo mwaka 2009 na kuhitimu 2012. Alijiunga kidato cha tano mwaka 2013 shule ya sekondari Rutabo, Muleba na kuhitimu mwaka 2015 kisha kujiunga na chuo kikuu cha Dar es Salaam ambako alipata shahada ya kwanza ya elimu ya sanaa na ualimu.

KAZI Kelvin ni Mkufunzi, Mwandishi na mhamasishaji katika semina, taasisi, mashirika na makampuni mbalimbali, amefanya kazi na kampuni mbalimbali ndani na nje ya nchi akiwa bodo kijana. Masomo yake zaidi hufundisha juu ya Ubora, ufanisi kazini, Ajira binafsi, ujasiriamali na maendeleo binafsi. Kelvin tayari amekwisha tembelea vituo vyote vikubwa vya habari Tanzania na kufanya mahojiano navyo pia kufundisha.

Kelvin ni tunu kwa taifa hi la Tanzania.

Mawasiliano Instagram Www.instagram.com/kelvinkibenje