Wafiadini wa Gorkum : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 langlinks, now provided by Wikidata on d:q1909286
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Les 19 Martyrs de Gorkum.jpg|thumb|[[Wakristo]] 19 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum]]
'''Wafiadini wa Gorkum''' (walifariki [[Brielle]], [[Uholanzi]], [[9 Julai]] [[1572]], ni watu[[Wakristo]] 19 wanaoheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[watakatifu]] [[wafiadini]] kwa kuwa waliuawa na [[Waprotestanti]] kwa kukataa kujiunga nao na kujitenga na [[Papa]].
 
Kwanza walitangazwa na [[Papa Klement X]] kuwa [[wenye heri]] tarehe [[24 Novemba]] [[1675]], halafu
watakatifu na [[Papa Pius IX]] tarehe [[29 Juni]] [[1867]].
 
Baadhi yao ni:
Line 17 ⟶ 14:
* [[Jeromu wa Weert]]
* [[Korneli wa Wijk-bij-Durstede]]
 
Wengi walikuwa [[Wafransisko]].
Kwanza walitangazwa na [[Papa Klement X]] kuwa [[wenye heri]] [[tarehe]] [[24 Novemba]] [[1675]], halafu
watakatifu na [[Papa Pius IX]] tarehe [[29 Juni]] [[1867]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa tarehe [[9 Julai]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliofariki 1572]]
[[Jamii:Wafransisko]]
[[Jamii:Wafiadini WakristoWakatoliki]]
[[Jamii:Watakatifu wa Uholanzi]]
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]]