Apoloni wa Sardi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Apoloni wa Sardi''' alikuwa Mkristo wa karne ya 4 aliyeuawa kwa kusulubiwa huko Ikonio (katika Uturuki wa leo) kwa s...'
 
(Hakuna tofauti)

Toleo la sasa la 13:18, 8 Julai 2020

Apoloni wa Sardi alikuwa Mkristo wa karne ya 4 aliyeuawa kwa kusulubiwa huko Ikonio (katika Uturuki wa leo) kwa sababu ya imani yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 10 Julai.[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.