Leonsi, Morisi na wenzao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' Danieli, Antoni, Aniseti, Sisini na wengineo (walifariki Nikopoli ya Armenia ya Kale, leo nchini Uturuki, karne ya 4) walikuw...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:35, 8 Julai 2020

Leonsi, Morisi na wenzao Danieli, Antoni, Aniseti, Sisini na wengineo (walifariki Nikopoli ya Armenia ya Kale, leo nchini Uturuki, karne ya 4) walikuwa Wakristo ambao, baada ya kuteswa kikatili, waliuawa kwa imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Licinius[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 10 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.