Bianori na Silvani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' (walifariki katika Pisidia, leo nchini Uturuki, karne ya 4) walikuwa Wakristo amba owaliuawa kwa kukatwa kichwa kutokana...'
 
(Hakuna tofauti)

Toleo la sasa la 13:45, 8 Julai 2020

Bianori na Silvani (walifariki katika Pisidia, leo nchini Uturuki, karne ya 4) walikuwa Wakristo amba owaliuawa kwa kukatwa kichwa kutokana naimani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Licinius[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 10 Julai[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.