Rasi ya Tumaini Jema : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Adding image
Mstari 1:
[[Picha:Rasi Afrika Kusini.PNG|thumb|350px|right|Rasi za Tumaini Jema na Agulhas nchini Afrika Kusini]]
[[Picha:Cape of Good Hope from Cape Point.jpg|thumg|300px|Rasi ya Tumaini Jema kutoka Cape Point]]
'''Rasi ya Tumaini Jema''' ([[ing.]] ''Cape of Good Hope'') ni mkono wa nchi unaoingia katika [[Atlantiki]] kwenye kusini ya bara la Afrika karibu na mji wa [[Cape Town]] ([[Afrika Kusini]]). Si mahali pa kusini kabisa ya Afrika ambapo ni [[Rasi Agulhas]].