Upepo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
File |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Pieter_Kluyver_-_Boom_in_stormwind.jpg|thumb|[[Mchoro]] wa [[Pieter Kluyver]] (
[[Picha:Vind i vand.jpg|thumb|250px|[[Alama]] za upepo usoni
'''Upepo''' ni mwendo wa [[hewa]]. Husababishwa na [[joto]] la [[jua]]. Hewa ikipashwa joto na jua hupanuka huwa nyepesi na kupanda juu. Hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.
Kwa [[lugha]] ya [[metorolojia]] kuna mwendo kutoka eneo la shindikizo la juu la hewa kwa eneo lenye shindikizo duni la hewa.
Kuna aina nyingi za upepo. Upepo mkali huitwa [[dhoruba]]. Ikizunguka ndani yake ni [[tufani]], na tufani ikianza [[Bahari|baharini]] ni [[kimbunga]].
Nguvu ya upepo ilitumiwa na binadamu tangu karne nyingi kwa njia ya teknolojia mbalimbali kama vile▼
* [[jahazi]] na usafiri wa maji▼
* kuendesha mashine za kusaga nafaka ▼
* kuendesha pampu za maji kwa [[umwagiliaji]]▼
Tangu karne ya 20 nguvu ya upepo imetumiwa pia kutengeneza [[umeme]]. Katika karne ya 21 [[umeme wa upepo]] umeanza kuwa chanzo muhimu wa nishati.▼
▲[[Nguvu]] ya upepo ilitumiwa na [[binadamu]] tangu [[karne]] nyingi kwa njia ya [[teknolojia]] mbalimbali kama vile
▲* kuendesha [[mashine]] za kusaga [[nafaka]]
▲* kuendesha [[pampu]] za maji kwa [[umwagiliaji]]
▲Tangu [[karne ya 20]] nguvu ya upepo imetumiwa pia kutengeneza [[umeme]]. Katika [[karne ya 21]] [[umeme wa upepo]] umeanza kuwa chanzo muhimu wa [[nishati]].
{{mbegu-sayansi}}
|