Kakakuona : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Rudisho la picha ya asili kwa sababu ile mpya inaonyesha spishi za Asia |
||
Mstari 2:
| rangi = #D3D3A4
| jina = Kakakuona
| picha =
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Kakakuona-nyika
| domeni =
| himaya = [[Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
Mstari 18:
'''Kakakuona''' (kwa [[Kiingereza]]: ''pangolin'') ni [[wanyama]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Manidae]] ambao wamepambika na magamba na wana [[mkia]] mrefu. Wakitaka kujikinga dhidi ya wanyama [[mbuai]] wanajikunja.
Huishi katika
Hula [[mchwa]] na [[sisimizi]] na pengine [[wadudu]] wengine ambao huwakamata kwa [[ulimi]] wao mrefu wenye kunata.
[[Kakakuona-nyika]] anapatikana [[Hifadhi ya Serengeti]]
==Mnyama lindwa==
Huzaa kidogo sana, na hiyo imechangia kufanya wapungue
==Uwindaji haramu==
▲Ndiyo sababu nchini [[Tanzania]] wanalindwa na [[sheria]] kali hata wasikamatwe. Hata hivyo, kakakuona wanawindwa sana. Kwenye Desemba [[2019]] [[magazeti]] yalitoa taarifa kuwa [[uwindaji]] haramu wa kakakuona unaongezeka hasa kwa sababu wanatafutwa kwenye masoko ya [[Asia]]. Katika nchi kama [[China]] na [[Vietnam]] [[nyama]] yao hutazamwa [[chakula]] kitamu, magamba yao hutumiwa katika [[dawa]] za [[jadi]] na [[ngozi]] hutumiwa kwa [[viatu]] au [[nguo]]. Tangu kupigwa marufuku kwa [[biashara]] ya [[spishi]] za kakakuona za Asia, [[biashara]] inalenga spishi za Afrika.
==Spishi za Afrika==
|