Muungano wa Tanganyika na Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Removing [[:c:File:Baba_wa_Taifa,_Hayati_Mwalimu_Julius_Kambarage_Nyerere_(Kushoto)_akibadilishana_na_Hayati_Sheikh_Abeid_Amani_Karume_(kulia).jpg|Baba_wa_Taifa,_Hayati_Mwalimu_Julius_Kambarage_Nyerere_(Kushoto)_akibadilishana_na_Hayati_Sheikh_Abeid_Amani
Mstari 1:
[[File:Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Kushoto) akibadilishana na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume (kulia).jpg|thumb|Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Kushoto) akibadilishana na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume (kulia).]]
'''Muungano wa Zanzibar na Tanganyika''' ulitokea [[tarehe]] [[26 Aprili]] [[1964]] ukawa mwanzo wa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]]. Hadi tarehe ile kulikuwa na [[mataifa]] mawili huru ya [[Jamhuri ya Tanganyika]] na [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]] ambayo yaliingia [[mkataba]] wa [[muungano]] mnamo [[mwaka]] 1964 na kuanzishwa [[dola]] la Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]].<ref>https://www.vpo.go.tz/wp-content/uploads/2020/04/makala-1-1.pdf</ref>