Mministranti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:MisdienaarVijftig misdienaars in 2004 bij 50-jarig bestaan Sint Martinuskerk, Gennep.jpg|thumb|upright=0.9|Waministranti [[hamsini]] katika [[maandamano]] ya kuadhimisha miaka hamsini ya [[kanisa]] huko [[Gennep]], [[Uholanzi]].]]
{{Ukristo}}
'''Mministranti''' (kutoka [[Kilatini]] ''ministrare'', kutumikia; pia "mtumikizi" au "mtumishi wa Misa" au "mtumishi wa altare"; kwa [[Kiingereza]] "altar server") ni [[Mkristo]] [[mlei]]<ref>http://www.vatican.va/roman_curia/congregations/ccdds/documents/rc_con_ccdds_doc_20040423_redemptionis-sacramentum_en.html</ref>) anayehudumia [[askofu]] au [[padri]], hasa [[Altare|altareni]], wakati wa [[Misa]] na [[ibada]] nyingine.