Isparta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q171031 (translate me)
+image #WPWPTR #WPWP
Mstari 1:
[[Image: DaglardanIsparta.jpg|thumb|300px|right| Isparta ]]
'''Isparta''' ni jina la mji uliopo magharibi mwa nchi ya [[Uturuki]] na ndiyo mji mkuu wa [[Mkaoa wa Isparta]]. Takriban watu 250,000 wanaishi mjini hapa. Mji upo mita 1035 kutoka [[juu ya usawa wa bahari]]. Jina lingine la mji ni "Mji wa Miuaridi". Katika majina ya Kituruki cha kale, hayakuanza na SP, hivyo yalianza na "I" kama jinsi ilivyowekwa kwa mbele wakati wa kutamka "Sparta", na sasa inaandikwa na kutamkwa kama "Isparta".