Kırşehir : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q208005 (translate me)
+image #WPWPTR #WPWP
Mstari 1:
[[Image: Cacabey.jpg|thumb|300px|right| Kırşehir ]]
[[Picha:Kırşehir districts.png|thumb|right|200px|]]
'''Kırşehir''', zamani uliitwa '''Macissus''' (pia iliandikwa '''Mocissus''' na '''Mokissus''') na '''Justinianopolis''', ni mji uliopo nchini [[Uturuki]]. Huu ni [[mji mkuu]] wa [[Jimbo la Kırşehir]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji umekadiriwa kuwa na wakazi wapatao 115,078 ambao wengine 88,105 wanaishi katikati ya mji wa Kırşehir.<ref name="die">{{cite web|url=http://www.die.gov.tr/nufus_sayimi/2000tablo5.xls|title=Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey|accessdate=2008-03-19|author=[[Turkish Statistical Institute]]|format=XLS|language=Turkish}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.xist.org/cntry/turkey.aspx?levels=Ic%20Anadolu|title=Statistical information on Turkey's administrative units|accessdate=2008-03-19|author=GeoHive}}</ref> Mji upo mita 1,027 kutoka [[juu ya usawa wa bahari]].