Chuo Kikuu Huria cha Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Nimefanya mabadiliko za mhusika katika chapisho hili
d Nimefanya mabadiliko na kuongeza taarifa rasmi za mhusika katika chapisho hili
Mstari 2:
 
==Historia==
Kilianzishwa mwaka 1992 kwa sheria ya bunge namba 17. Sheria hiyo ilipata nguvu ya utendaji rasmi tarehe 01 Machi 1993 kwa mujibu wa tangazo la serikali namba 55 ya gazeti lake rasmi. Mwaka 1994, Januari 19 Makamu Mkuu wa kwanza wa Chuo alishika madaraka na mwezi huohuo walisajiliwa wanafunzi wa awamu ya kwanza. Mwaka 2007 kwa mujibu wa sheria ya vyuo vikuu, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kilianza kutumia sheria na taratibu zake za ndani ya chuo toleo la mwaka (2007) katika shughuli zake za kiutawala [[Chuo Kikuu Huria cha Tanzania|https://www.out.ac.tz/history-of-the-university/]].
 
==Taaluma==