Chuo Kikuu Huria cha Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Nimefanya mabadiliko za mhusika katika chapisho hili
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Out Logo.jpg|thumb|Nembo ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania]]
'''Chuo Kikuu Huria cha Tanzania''' (kwa [[kiingerezaKiingereza]]: ''Open University of Tanzania'') kilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Nmba 17 ya 1992. Nini [[chuo kimojakikuu]] kinachotoa [[kozi]] za [[cheti]], [[stashahada]] na [[shahada]] kupita [[masomo ya mbali]] (Distance Learning). [[Makao Makuumakuu]] yako [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]].
 
==Historia==
Kilianzishwa [[mwaka]] [[1992]] kwa sheriakilichoanzishwa kwa [[Sheria]] ya bunge[[Bunge]] [[namba]] 17 ya mwaka [[1992]]. Sheria hiyo ilipata nguvu ya utendaji rasmi [[tarehe]] 01[[1 Machi]] [[1993]] kwa mujibu wa tangazo la [[serikali]] namba 55 ya [[gazeti]] lake rasmi.

Mwaka [[1994]], [[Januari 19]] Makamu Mkuu wa kwanza wa Chuo alishika [[madaraka]] na mwezi huohuo walisajiliwa [[wanafunzi]] wa awamu ya kwanza.

Mwaka [[2007]] kwa mujibu wa sheria ya vyuo vikuu, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kilianza kutumia sheria na taratibu zake za ndani ya chuo toleo la mwaka (2007) katika shughuli zake za kiutawala <ref>[https://www.out.ac.tz/history-of-the-university/]</ref>.
 
==Taaluma==
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinatoa stashahada, diploma na shahada mbalimbali kupitia [[elimu]] ya [[Mtandao|kimtandao]] au elimu ya masafa ya juu kwa njia ya [[tehama]] au nyenzo nyingine mbalimbali za [[Teknolojia|kiteknolojia]]. Shughuli za chuo zinafanyika na kutoa [[huduma]] katika viwango vya utendaji na usimamiaji wa baraza la vyuo vikuu Tanzania ([[TCU]]).
 
==Vituo==
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kina vituo kwenye [[mikoa]] [[Mikoa ya Tanzania|zaidi ya 30]] nchini Tanzania; hii ni kujumlisha na vituo vya [[Zanzibar]] ([[Unguja]] na [[Pemba]]), [[Kenya]] vituo viwili (Chuo cha Egerton na Njoro), [[Rwanda]] (eneo la Kibungo), [[Uganda]] na [[Namibia]] (Chuo cha Triumph).

Vituo vingine vya mashirikiano ya ndani ni ACDE-TCC (African Council for Distance Education- Technical Collaboration Committee), CECED (Centre for Economics and Community Economic Development), SADC ODL CoS TE (SADC Centre of Specialization in Teacher Education).

Chuo Kikuu Huria kina vituo vya kusomea takribani 69 ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
== Vitivo ==
Ina:
Iko na:
 
*Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Jamii
Line 24 ⟶ 32:
*Kurugenzi ya Utafiti na Masomo ya baada ya Shahada
 
== Watu maarufu waliohitimu Chuonichuoni ==
 
== Watu maarufu waliohitimu Chuoni ==
*[[Jakaya Kikwete]], [[Rais]] wa awamu ya nne wa [[Tanzania]]
*[[Benjamin Mkapa]], [[Rais]] wa awamu ya tatu wa [[Tanzania]]