Köln : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
gallery added
No edit summary
Mstari 23:
}}
 
'''Köln''' ''(pia: '''Kolon''', (kutokana na [[Kiing.Kiingereza]] ''Cologne''; kwa [[Kijerumani]] cha kienyeji: ''Kölle'')'' ni [[mji]] wa [[Ujerumani|Kijerumani]] kando laya [[mto]] [[Rhine]] mwenyewenye wakazi 970,000. Maana ya kiasili ya jina ni "koloni".
 
==Historia==
Maana asili ya [[jina]] ni "[[koloni]]". Ni mji wa kale ulioundwa kwa jina la "Colonia Claudia Ara Agrippinensis" kama [[Koloni nyakati za kale|koloni]] ya [[Waroma wa Kale]] mnamo [[mwaka]] [[50]]. Mahali pa mji paliwahi kuwa [[boma]] la Kiroma na kabla ya hayohapo [[kijiji]] cha [[kabila]] cha ''Waubii''.
 
Köln ni mji mkubwa wa nne wa Ujerumani na mji mkubwa wa [[Majimbo ya Ujerumani|jimbo]] la [[Rhine Kaskazini - Westfalia]] (Nordrhein-Westfalen).
 
Kuna [[kanisa]] kubwa lakuliko Ujerumaniyote woteya Ujerumani ''("Kölner Dom")'' ambalo ni maarufu kwa sababu limejengwa katika [[muda]] wa miaka 700 tangu mwaka [[1248]] hadi [[1880]]. Masalio[[Masalia]] ya [[mamajusi]] watatu waliomtembelea [[mtoto]] [[Yesu]] huko [[Bethlehemu]] yanasemekana kutunzwa humo. Köln ni [[kitovu]] muhimu wa kanisa[[Kanisa katolikiKatoliki]] nchini na makao wa [[askofu mkuu]].
 
[[Chuo Kikuu cha Köln|Chuo kikuu]] chake kilianzishwa mwaka [[1388]] na leo kuna [[wanafunzi]] 44,000 na pamoja na [[vyuo]] vingine kuna wanafunzi zaidi ya 80,000 kwenye ngazi ya vyuo. Kati ya vyuo vinginivingine Chuo cha Muziki kimejulikana sana kimataifa.
 
Mji umejulikana nchinipia kwa aina yake ya pekee ya [[bia]].
 
Köln ni pia kitovu cha [[Waafrika]] katika Ujerumani. Pamoja na wanafunzi wengi kutoka [[Afrika]] kuna pia [[taasisi]] kama [[huduma]] ya Sauti ya Ujerumani ([[Deutsche Welle]]) zinazoajiri Waafrika wengi. Kuna hata [[vilabu]] ambako bia aina ya [[Tusker]] kutoka [[Kenya]] inauzwa.
Mwaka [[2005]] Köln ilikuwa mahali pa mkutano wa Vijana Wakatoliki Duniani wakakutana zaidi ya [[milioni]] moja na [[Papa Benedikto XVI]].
 
[[Watalii]] wengi wanakujawanafika kila mwaka kwa [[sherehe]] ya [[Karnivali]] kabla ya [[majira]] ya [[kwaresimaKwaresima]].
 
==Picha==
<br><center><gallery caption="Köln">
Koeln-112-Stadt vom Domturm-1989-gje.jpg
Line 53 ⟶ 55:
 
== Viungo vya Nje ==
{{Commons|Cologne}}
* [http://www.koeln.de German page on the city]
* [http://www.uni-koeln.de German page of the University]
Line 58 ⟶ 61:
* [http://www.wdr.de German page of the broadcasting station ''Westdeutscher Rundfunk'']
 
{{Commons|Cologne}}
{{mbegu-jio-Ujerumani}}