Köln : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 38:
Köln ni pia kitovu cha [[Waafrika]] katika Ujerumani. Pamoja na wanafunzi wengi kutoka [[Afrika]] kuna pia [[taasisi]] kama [[huduma]] ya Sauti ya Ujerumani ([[Deutsche Welle]]) zinazoajiri Waafrika wengi. Kuna hata [[vilabu]] ambako bia aina ya [[Tusker]] kutoka [[Kenya]] inauzwa.
Mwaka [[2005]] Köln ilikuwa mahali pa mkutano[[Siku waya Vijanakimataifa Wakatolikiya Dunianivijana]] wakakutanaWakatoliki; zaidi ya [[milioni]] moja walikutana na [[Papa Benedikto XVI]].
 
[[Watalii]] wengi wanafika kila mwaka kwa [[sherehe]] ya [[Karnivali]] kabla ya [[majira]] ya [[Kwaresima]].