Paulo Lang Fu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Martyr Saints of China.jpg|thumb|[[Wafiadini]] [[Wakatoliki]] wa China.]]
'''{{PAGENAME}}''' ([[Lu]], [[1893]] hivi - [[Lujiapo]], [[916 Julai]] [[1900]]) alikuwa [[mtoto]] wa [[China]] aliyefia [[Ukristo]] wakati wa [[Uasi wa Mabondia]] pamoja na [[mama]] yake [[Lang Yangzhi]].
 
[[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza [[mtakatifu]] pamoja na wengine 119 [[tarehe]] [[1 Oktoba]] [[2000]].