Buingamia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza picha
Matini mapya
 
Mstari 27:
* [[Solpugidae]] <small>[[William Elford Leach|Leach]], 1815</small>
}}
'''Buingamia''' ni [[arthropodi]] wa [[oda]] [[Solifugae]] katika [[ngeli]] [[Arakinida|Arachnida]]. Mara nyingi [[binadamu|watu]] huchanganya buingamia na [[nge]] au [[buibui]] wakubwa lakini sio wale wa kwanza wala wa pili. Wote wamo katika oda yao ya kibinafsi, nge katika [[Scorpiones]] na buibui katika [[Araneae]].
'''Buingamia''' (kutoka [[Kiing.]] [[w:Solifugae|camel spider]]) ni [[arakinida]] wa oda [[Solifugae]]. Buingamia hawana [[sumu]].
 
Tofauti dhahiri zaidi kati ya buingamia na nge ni ukosefu wao wa [[mkia]] wenye [[msumari (wadudu)|msumari]] wa [[sumu]] kwa ncha yake. Pia hawana [[gando (arithropodi)|magando]] kwenye [[pedipalpi]] zao. Tofauti kuu na buibui ni kutokuwepo kwa chuchu za kukalidi [[hariri]], kwa hivyo hawawezi kutengeneza [[tandabui|utando]]. Na kinyume na buibui wanapumua kupitia mfumo wa [[spirakulo]] na [[trakea]] ulioundwa vizuri badala ya kwa njia ya [[pafu-kitabu|mapafu-kitabu]].
 
==Spishi za Afrika ya Mashariki==