Aboud Jumbe Mwinyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Jumbe.jpg|right|thumb|Aboud Jumbe]]
'''Aboud Jumbe Mwinyi''' ([[ZanzibarUnguja]], [[14 Juni]] [[1920]] - [[Dar es Salaam]], [[14 Agosti]] [[2016]] <ref>[http://dailynews.co.tz/index.php/home-news/52672-former-zanzibar-president-mzee-jumbe-dies]</ref>) alikuwa [[rais]] wa pili wa [[Zanzibar]] toka tarehe [[11 Aprili]] [[1972]] hadi [[3029 Januari]] [[1984]] alipojiuzulu<ref name="google">{{cite book|title=The World this Year|author=Council on Foreign Relations|date=1973|publisher=Simon and Schuster.|issn=0364-8575|url=https://books.google.com/books?id=TCOFAAAAMAAJ|accessdate=2015-02-20}}</ref>.
 
Jumbe alizaliwa kisiwani Unguja mwaka 1920 akasoma shule Zanzibar mjini kuanzia 1930 hadi 1942. 1943-45 alisoma ualimu pale Makerere, Kampala (Uganda) akafundisha shule inayoitwa leo Lumumba College 1ß46-1960. 1953 alijiunga na chama cha Zanzibar National Union akahamia Chama cha Afro-Shirazi mnamo 1960 akachaguliwa mbunge kwenye mwaka 1961. Akiwa mwakilishi wa upinzani wa ASP, alishiriki kwenye majadiliano kuhusu uhuru wa Zanzibar pale London 1961/62. <ref>[https://www.munzinger.de/search/portrait/Aboud+Jumbe/0/13198.html Aboud Jumbe], tovuti ya Munzinger Archiv (Kijerumani), iliangaliwa Julai 2020 </ref>. Baada ya mapinduzi 1964 alikuwa waziri katika serikali ya Karume.<ref>[https://www.lemonde.fr/archives/article/1972/04/13/m-aboud-jumbe-devient-vice-president-de-la-republique_2401829_1819218.html M. ABOUD JUMBE DEVIENT VICE-PRÉSIDENT DE LA RÉPUBLIQUE], tovuti ya Le Monde ya tar. 13 Aprili 1972 , iliangaliwa Julai 2020</ref>.
 
Jumbe aliingia madarakani baada ya kuuawa kwa rais wa kwanza Abeid Karume kwenye tarehe 7 Aprili 1972 ambako Jumbe aliteuliwa na Baraza la Mapinduzi kuchukua nafasi yake.
 
Jumbe aliimarisha uhusiano na Tanzania bara kwa kukubali maungano ya vyama vya [[TANU]] na [[ASP]] kuwa [[CCM]]<ref name=KCK>{{cite web|url=http://library.fes.de/pdf-files/bueros/tanzania/02112.pdf |title=CONSTITUTIONALISM AND POLITICAL STABILITY IN ZANZIBAR: THE SEARCH FOR A NEW VISION (PDF) |publisher=library.fes.de|accessdate=2015-02-20}}</ref>. 1979 Jumbe alitia sahihi katiba ya kwanza ya Zanzibar baada ya mapinduzi iliyomaliza utawala bila kikomo wa Baraza la Mapinduzi; hivyo alichaguliwa 1980 na raia wa Zanzibar, si wajumbe wa Baraza la Mapinduzi, katika uchaguzi wa kwanza wa Zanzibar tangu 1963.
 
Mnamo 1984 Jumbe alidai nafasi kubw azaidi kwa maazim,io ya Zanzibar katika muungano alipaswa kujiuzulu tarehe 29 Januari 1984 wakati wa kikao cha chama cha CCM mjini Dar es Salaam<ref>[https://www.upi.com/Archives/1984/01/29/Tanzanian-Vice-President-Aboud-Jumbe-resigned-Sunday-from-all/7627444200400/ Tanzanian Vice President Aboud Jumbe resigned Sunday from all his posts], tovuti ya UPI Archives
Jan. 29, 1984, iliangaliwa Julai 2020 </ref>.
 
Jumbe aliaga dunia kwake Kigamboni, Dar es Salaam, tarehe 14 Agosti 2016 akiwa na umri wa miaka 96.<ref>{{Cite web|url=http://dailynews.co.tz/index.php/home-news/52672-former-zanzibar-president-mzee-jumbe-dies |title=Former Zanzibar president Mzee Jumbe dies |last=REPORTER |first=ONLINE |website=dailynews.co.tz |access-date=2016-08-14 |url-status=dead |archiveurl=https://web.archive.org/web/20160815160756/http://www.dailynews.co.tz/index.php/home-news/52672-former-zanzibar-president-mzee-jumbe-dies |archivedate=2016-08-15 }}</ref>
 
==Tanbihi==