Lombok : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Lombok''' ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Bali na upande wa magharibi wa kisiwa cha Sumbawa. Eneo la kisiwa ni 45...'
 
#WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Lombok Wedding Party 1998.jpg|thumbnail|right|200px|Kisiwa Lombok]]
 
 
'''Lombok''' ni kisiwa cha [[Indonesia]]. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha [[Bali]] na upande wa magharibi wa kisiwa cha [[Sumbawa]]. Eneo la kisiwa ni 4514 [[kilomita ya mraba|km²]]. Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Mataram. Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 3,311,000.