Mtayarishaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q27887
d +File:Oliver Berben 0667.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[File:Oliver Berben 0667.jpg|thumb|'''Oliver Berben''', Mtayarishaji, [[mwongozaji]] na [[mwandishi]] wa Miswada ya filamu toka nchini [[Ujerumani]]]]
'''Mtayarishaji''' ni mtu anayetengeneza kitu au kukiandaa, kuangalia mazingira gani yatafaa kutayarishia k.m. [[filamu]] n.k. Pia mtayarishaji huwa anapata msaada mkubwa kutoka kwa [[muongozaji]] ambaye yeye huwaweka wasanii sawa vipi [[filamu]] itatakiwa iwe n.k. Ila kwa mtazamo ambao watu wengi wamezoea kuuona na kusikia ni kwamba mtayarishaji huwa mtu anayetengeneza filamu au nyimbo.