José Echegaray y Eizaguirre : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q127349 (translate me)
#WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:José Echegaray y Eizaguirre.jpg|thumbnail|right|200px|José Echegaray y Eizaguirre alkua mshindi wa Tuzo ya Nobeli mwaka 1904]]
 
'''José Echegaray y Eizaguirre''' ([[19 Aprili]] [[1832]] – [[4 Septemba]] [[1916]]) alikuwa mwanahisabati, mwanasiasa na mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya [[Hispania]]. Alianza kuandika tu alipofikisha umri wa miaka 42. Kabla ya kuwa mashuhuri kama mwandishi, alikuwa profesa wa hisabati na mwanasiasa (kwa mfano, aliteuliwa kuwa Waziri wa Fedha mwaka wa 1874). Mwaka wa 1904, pamoja na [[Frederic Mistral]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.